SEHEMU ZENYE MSISIMKO MKUBWA KWA MWANAMKE🥰🥰
Hizi hapa😋😋
- Shingo-upande hasa wa kulia na kushoto kwake.
- Masikio yote mawili hasa eneo la upande wa ndani,kama vile wakati wa kujisafisha lakini siyo ndani kiasi cha kuleta maumivu.
- Mgongo na kiuno-sehemu ya mgongo ni ile inayokaribia kiuno na kiuno chenyewe kwa ujumla kina mwamsho mkali wa hisia.
- Viganja vya mikono-upande wa mbele na nyuma ya mkono pamoja na vidole vyake,yategemea utaalamu wa mtu kuchezea.
- Matiti-hii ni kwa asilimia kubwa ya wanawake wote wanahisia kubwa sehemu hii hasa ile nyonyo yenyewe na siyo titi zima.
- Mapaja,hasa upande wa ndani (kati ya miguu yake miwili kabla ya kufikia eneo la uke)
- Nyayo za miguu-kati ya kisigino na vidole vya miguu(kwenye hii sehemu iliyo bonyea kidogo)
- Lips za midomo na mashavu yote mawili
- Uke na eneo linalozunguka via hivyo vya uzazi kama vile mashavu ya uke na kisimi (clitoris).
- Kitovu,hii kwa vile hata tu eneo lake limezungukwa na maeneo hatari kwa msisimko kama vile kiuno na inakaribiana na uke ambapo kuna msisimko mkubwa sana.


Naitaji
JibuFutaVh
JibuFuta